Zaburi 42:1

Kama paa atamanivyo maji ya kijito,ndivyo ninavyokutamani ee Mungu wangu...!!.

Zaburi 42:2

Naona kiu ya Mungu,kiu ya Mungu alie hai,nitafika lini kwake na kuuona uso wake..?.

Zaburi 42:3

Machozi yamekuwa chakula changu mchana na usiku,waliponiambiakila siku 'yuko wapi Mungu wako?'.

43:4

Nakumbuka tena mambo haya kwa majonzi moyoni mwangu:Jinsi nilivyokwenda na umati wa watu,nikawaongoza kwenda nyumbani kwa Mungu wakipiga vigelegele vya shukrani;umati wa watu wakifanya sherehe!.

Zaburi 42:5

Mbona nasononeka hivyo moyoni? Kwa nini nahangaika hivyo ndani mwangu? Nitamtumainia Mungu, maana nitamsifu tena yeye aliye msaada wangu na Mungu wangu

Monday, 25 January 2016

Nabii na mchungaji joseph george Tanzania dar_es.salaam

Sunday, 24 January 2016

Wimbo wa leo

H




Maombi kwa Mama Magongo kinondoni jumanne,alhamisi,jumamosi

Ratiba Ya Maombi

Maombi Goba kila siku jumapili,saa tisa mpaka saa kumi na mbili