Alhamisi 3 2016 Somo la 1 Yer. 7:23-28 Naliwaamuru neno hili, nikisema, Sikilizeni sauti yangu, nami nitakuwa Mungu wenu, nanyi mtaku...
About Us
Calvary Jesus ni huduma ya kiroho,inayotolewa na watumishi wa Mungu,waliojitolea kwa moyo kuwahudumia watu wote bila kujali dini zao,rangi wala itikadi zao zozote,huduma hii inatolewa sehem tatu kwa hapa Dar es Salaam,ambazo ni Mkwajuni ,Mabibo na Goba.
Wagonjwa huombewa na kupona na watu wengi wamevuka katika shida mbalimbali na kufunguliwa vifungo mbalimbali katika maisha yao.
Kituo kikuu katika hivi vituo vitatu kiko Mkwajuni ambae kiongozi wake ni Mchungaji Jose George,Goba kiongozi ni Samweli M Mendulo na Mabibo kiongozi ni Peter Shinyambala
Karibu katika huduma hii ya sala na maombi ili nawe upate kumshuhudia Mungu kwa jinsi anavyoenda kukuvusha katika jambo ambalo unaliona ni zito katika Maisha yako...,
0 comments:
Post a Comment